Story

My Past - Sehemu ya 38.

Saturday, December 02, 2017 naomimwakanyamale 2 Comments

Endelea kufuatilia Simulizi hili la kusisimua ya
 'My Past'
kwenye website zetu  za 
https://mtazamohalisi.com/

2 comments:

  1. Kwanza kabisa asante Naomi kwa hadith nzuri na ndefu,Diva kusamehewa kumenifundisha kitu kumbe kunawakat mtu ukianguka unaweza kuamka na kujikung'uta mavumbi na kuenedelea na safar huku ukiwa na aman na furaha? Hongera family ya mzee Mwasha kwakuwa mfano mzuri kwa jamii najifunza vingi mno kupitia kwa hawa watu,Bella nakuombea Mungu akupe macho ya rohon ili ujue n kias gani umemuumiza mwanaume mwenye mapenz ya dhat na ww tena mwenye kuthamin utu wako Elvin ndye mwanaume unaempenda kwa dhat ya moyo wako ila ipo sku itatimia na mtakuwa sawa.ushauri wangu kwa wote tunaosoma hizi hadith za Naomi Mwakanyamale Ng'imba tuwe tunasoma kwa manufaa yetu na tujifunze kupitia hiz hadith cz huwez jua Mungu anakusud la kuturekebisha wapi.Hakuna mkamilifu chini ya jua ila Mungu pekeyake so tunatakiwa kujifunza.@Fridah

    ReplyDelete