Story
Fellow Bloggers
-
Kimataifa : Rais Samia Aondoka Kuelekea Urusi kwa Ziara ya Kitaifa - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nye...1 day ago
-
BENKI YA STANBIC YAFIKIA TAMATI KAMPENI YA TAP KIBINGWA KWA SHANGWE - • TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500...1 year ago
-
Pep Talk - You have the ability to change the entire direction of your life with that little thing under your nose: your mouth. Yes, it’s as simple as it seems. We al...4 years ago
-
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online - Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan dengan nya...5 years ago
-
Hadithi / Simulizi ya Nilipote! - Jua ni kwa nini hiyo Simulizi ipo. Nini kilinipelekea kutunga hadithi kama hiyo? Karibu kusikiliza.7 years ago

Kwanza kabisa asante Naomi kwa hadith nzuri na ndefu,Diva kusamehewa kumenifundisha kitu kumbe kunawakat mtu ukianguka unaweza kuamka na kujikung'uta mavumbi na kuenedelea na safar huku ukiwa na aman na furaha? Hongera family ya mzee Mwasha kwakuwa mfano mzuri kwa jamii najifunza vingi mno kupitia kwa hawa watu,Bella nakuombea Mungu akupe macho ya rohon ili ujue n kias gani umemuumiza mwanaume mwenye mapenz ya dhat na ww tena mwenye kuthamin utu wako Elvin ndye mwanaume unaempenda kwa dhat ya moyo wako ila ipo sku itatimia na mtakuwa sawa.ushauri wangu kwa wote tunaosoma hizi hadith za Naomi Mwakanyamale Ng'imba tuwe tunasoma kwa manufaa yetu na tujifunze kupitia hiz hadith cz huwez jua Mungu anakusud la kuturekebisha wapi.Hakuna mkamilifu chini ya jua ila Mungu pekeyake so tunatakiwa kujifunza.@Fridah
ReplyDeleteAsante kwa mchango@Fridah
ReplyDelete