Lifestyles,

Marriage /MAISHA YA NDOA

Sunday, September 13, 2015 naomimwakanyamale 0 Comments

Kuna mafundisho mengi sana yanaendelea kuwa kama kuna shida kwenye ndoa mume/mke uliyenaye sio wa kwako(sisemi ni uongo ila imewafanya watu wabweteke sana)...ila ngoja nikwambie kitu hata kama NI WA KWAKO kama ukizembea atakuwa tu wa wenzako. Maisha ya Ndoa ni kipindi cha mwisho cha maisha ya mwanadamu, kwahiyo shetani hawezi kukuletea majaribu ya darasa la 7 ya form 1 wakati anajua ushapita huko siku nyingi. Lazima kujua maisha ya ndoa sio tu kupanga vikombe mezani, kutandika kitanda na kujua kukitumia.....Ufalme wa maisha ya ndoa unatekwa na wenye nguvu, kama nguvu zako chache utazimia mapema na kubaki unabadilisha mke/mume tu KWA KUSEMA HAKUWA CHAGUO LA MUNGU kwangu. Kama ulimtafuta kwa maombi mbona tena unashindwa kumtunza kwa maombi....??  Ku maintain ndoa ni vita, shetani anajua akipiga hilo eneo amepiga maeneo mengi.......katika wengi walioshindwa Mungu akufanye wewe KUBEBA AGANO LA WALIOSHINDA kusaidia Ulimwengu.
If you can do anything to keep your business, to finish your studies, to take care of your children, to work hard, to acomplish your target.....DO ANYTHING POSSIBLE TO MAINTAIN THE HAPPINESS OF YOUR MARRIAGE. Lazima Kurudi kwa mwanzilishi wa ndoa ambaye ni Mungu anayechukia matengano ili awe msaada, mshauri na kiongozi wa ndoa zenu huku kila mmoja akichukua nafasi katika ndoa. Mama andelea kuwa mke hata kama wewe ndiye unayeingiza pesa nyingi katika familia na baba kiongozi wa kweli anayesikia kwa hakika kutoka kwa Mungu.
{Mchango kutoka kwa Edna kuja}

0 comments: