Story
..is Mine - ..ni Wangu! Part 2 {Sehemu ya 1 - 25}
Part 2
Sehemu ya 1 - 25.
Sasa Imekamilika.
Sasa Imekamilika.
Usikose kufuatilia kujua yaliyojiri. Geb yupo rumande kwa kosa la jinai, Nanaa aliachwa bila utambulisho wowote ule. Je, Rita alimtafuta? Changamoto nyingine imetupwa katikati ya Geb na Nanaa. Mwanzoni kipingamizi alikuwa Liz, akaja Zinda. Vyote hivyo wakafanikiwa kuvivuka mpaka kuwa pamoja. Wakiwa ndio wameweka mambo sawa, Rita mpenzi wa Zamani wa Geb, aibuka na kutibua kila kitu. Amemuweka Geb rumande, vipi huko kwa Nanaa? Usikose kulipia Part 2 ya hadithi hii iliyojaa visa na Mikasa yakusisimua. Karibu.
0 comments: