Healthy,
Kama wataalamu wasemavyo, Matunda na Mboga za majani, vina faida kubwa sana mwilini. Mojawapo ni kukusaidia pia kulinda uzito unaohitajika na mwili wako na pia Ulaji mwingi wa Matunda na Mboga za majani kama sehemu ya lishe yako inasaidia sana kupunguza maradhi mwilini ikiwemo magonjwa ya moyo, high blood pressure, type 2 diabetes and perhaps some forms of Cancer. Unaweza kutengeneza juisi au kula kama yalivyo. Nanivizuri kuzoeza watoto tabia yakula vyakula na snacks sahihi.
Mbali ya kukazana kula vizuri, au sahihi mazoezi PIA ni muhimu na lazima ndugu.Tujitahidi kutoa watoto nje kucheza au kutafuta michezo itakatowafanya wawe active nje hata ndani ya nyumba mbali na kuangalia tu tv.
Eating by Formula...

0 comments: