Story
*More than Saying.* Sehemu ya 22.
Hadithi hii *More than
saying*!
*Zaidi ya kutamka!*
Sasa imetengenezwa kama hadithi moja. Imepangiliwa kwa mtiririko mzuri wa vitabu au sehemu 4 tu. Inapatikana kwa hardcopy kwenye mitandao ya Amazon au ebook kwenye mtandao wa Sim gazeti.
Kwa kujipatia Nakala zako zote 4 nenda Amazon.
Bonyeza link hii, itakufikisha kwenye kitabu hichi cha kwanza kilichobeba sehemu takribani 6.
Kwa kuendelea kusoma kwenye simu yako au computer na tablets. Kwa njia ya ebook Ingia
Site:- simgazeti.com
Android app:- https://goo.gl/HMjA4z
iOS app:- https://goo.gl/TiDzy
Enjoy!



Nitoe Maoni yangu japo kwa kuchelewa. Napenda kumzungumzia Sam kwani amenigusa sana kwa jinsi alivyoweza kubeba majukumu ya kulea wadogo zake akiwa naye ni mtoto. Maisha yake yamejaa funzo kwa vijana wa sasa na hata kwa watu wa rika zote. Kuwa tunapata kuwajibika ili kuokoa jahazi, kwani Sam hakubaki kulaumu tabia ya wazazi wake. Aliamua kupambana na maisha ya wadogo zake na tumeona kweli tumeona akifanikiwa. Sonia tunaona alipoamua kumkubali Paul Kuwa baba yake tunaona tayari alianza kupata raha ya Kuwa na mtu wa ku-share, wakati mwingine kutokusamehe kunatuchelewesha na kuzuia kupata baraka zetu. Naamini Sonia atakula mema ya nchi kutoka kwa baba yake. By Lillan John
ReplyDelete