Today's Tip

Today's Tip

Wednesday, February 28, 2018 naomimwakanyamale 0 Comments

Mara nyingi inakuwa rahisi kutupa lawama kwa mtu au mazingira ili tu kujipa amani na kujifariji moyoni. Lakini ukweli inakuwa ni uvivu wa kufikiri au kutojijua kibinafsi. Uwezo Mungu alioweka ndani yako. Iwe wa kufikiri au kutenda. Na kutaka mtu au watu wahusike kwenye maisha yako hasa unapopitia kipindi kigumu.  Wanaposhindwa kutimiza mategemeo yako, hugeuka kuwa adui.

NIVIZURI👇👇👇




*STOP JUDGING AND EVALUATING YOURSELF.*


0 comments: