Healthy

Mzoezi Ya kukata Kitambi

Thursday, March 01, 2018 naomimwakanyamale 0 Comments

Katika harakati ya mazoezi yangu, 🏋️‍♀️nilipata aina hiyo ya mazoezi kwa ajili ya Tumbo. Ni rahisi, unaweza fanya popote hata chumbani dakika chache kabla ya kuoga baada ya mazoezi yako ya kila siku.

Wataalamu wanashauri kupumzika siku moja ili kuipa misuli muda wa mapumziko na kupona kabla hujaendelea.

Mara 3 mpaka 4 kwa week, siyo mbaya.

Muhimu kuongeza umakini katika kila kiingiacho tumboni 🍔🍟🍨👈🙄🤔☠☠.....ili kuona matokeo ya haraka.💪

Nitatuma tena, aina ya vinywaji vya kunywa 🥃🥃kabla ya kwenda kulala vinavyosaidia kupunguza Tumbo.

{1 cor 6:9 Miili hii ni hekalu la Roho Mtakatifu} 
Vizuri kuitunza

0 comments: