Lifestyles,

MIPANGO YAKO YA KILA SIKU. JE, MUNGU ANAHUSIKA?

Friday, September 04, 2015 naomimwakanyamale 1 Comments


Kila siku unapoamka kitandani ni dhamana kubwa sana Mungu aliyokupa. Amekuchagua siku hiyo uwepo duniani kwa kusudu maalumu. Ni jukumu lako kujua kusudi lako la wewe kuwepo hapa duniani na kuanza kulitumikia sasa. Lazima kujitathimini kila inapoitwa leo, jinsi uishivyo, mipango yako ya kila siku na na kujiuliza kama katika hilo Mungu akikuangalia anapendezwa nawe. Ni kweli duniani tunapita, Je unajua uendapo baada ya hapa? Na Je umejiandaa vipi na huko uendapo?

1 comment: