Lifestyles,
WAZO LA LEO!
Wakati wote watu wanakitu Fulani chakusema juu ya Maisha yako na wengi hutumia mifano ya Maisha yao kukushauri juu ya Maisha yako. Kumbuka tumeumbwa tofauti tofauti na kila mtu katika Maisha amekusudiwa na Mungu kupitia Maisha yake kutokana na uwezo Mungu alituwekea kila mmoja wetu ndani yetu. Mapito yangu siyo yako. Ushauri ni mzuri lakini wakati wote rudi kwenye BIBILIA, Muombe Mungu, Pata muda mtulivu wakupokea majibu yako kutoka kwa Mungu na fanyia kazi kile Mungu alichokuamuru kufanya. Haijalishi mazingara yanayo kuzunguka yako vipi! Chukua hatua.
"HATUA ZA MTU ZAIMARISHWA NA BWANA, NAYE AIPENDA NJIA YAKE" Zab37:23
"HATUA ZA MTU ZAIMARISHWA NA BWANA, NAYE AIPENDA NJIA YAKE" Zab37:23
0 comments: