Healthy
Jifunze Mazoezi kwa Afya
Mazoezi ni Muhimu
kwa afya yako. Sio lazima uende gym.
Waweza kufanyia hata nyumbani. Asubuhi uamkapo au jioni
baada ya shuguli za kila siku.Kama ungependa
kuanza na
hujui pakuanzia. Angalia pichani utapata muongozo wa nini
chakufanya
kila siku. Fuatiliza siku na kitu gani cha kufanya na
jinsi ya ufanyaji kutoka kwenye cartoon pembeni ya siku.
Karibu.
0 comments: