Raising Strong Deneration
Pie Face Challenge with a twist
Nimeweka kwenye Blog katika kipengele Cha "Raising strong Generation". Nimependa idea yao kutaka kushare na wengine kile wanachofanya kila siku ili wengine pia wanufaike. Naona kitafaa wazazi wengi kwa kuwa ni maombi ya kila mzazi kuwa watoto wao wafanikiwe kimaisha. Lakini haitasaidia kitu, Kama tutakuza kizazi kilichofanikiwa kipesa na elimu lakini kisichomfahamu Mungu. Kizazi kisichoujua UKweli kutoka kwenye neno la Mungu. Yote yatakuwa ubatili.
Karibuni uwasikilize wakishare experience yao.
Karibuni uwasikilize wakishare experience yao.
0 comments: