Raising Strong Deneration
na kuweza kumsaidia kukikuza, na kunufaika nacho.
Je, Wajua Jinsi ya Kutambua Kipaji Cha Mtoto wako?
Umegundua watu wengi hawafurahii kufanya kazi wazifanyazo sasa? Wakidhani Mshahara, au Kiongozi wake ndiye anayesababishia kuwa na mazingira magumu ya Kazi, au Kutofurahia kazi yake.
Ukweli ni kwamba, hasa kwa nchi zinazoendelea wengi wetu tumejikuta tukifanya kazi ambazo hata hatukuzitegemea, au shida zimetufanya tukimbilie kazi yeyote itakayotusaidia kuingiza kipato, huku tukifa wakati hatujafanyia kazi kabisa vipawa/gifts ambazo Mungu aliweka ndani yetu.
Usikose kuwa nami ili kutambua kipaji cha mtoto wako
na kuweza kumsaidia kukikuza, na kunufaika nacho.
ITAKUJIA HIVI KARIBUNI.
Hapa Hapa Mtazamo Halisi.
Tuinue Kizazi Chenye Nguvu na Chenye tumaini la Kesho.




0 comments: